Description
π§ JE, MAJI YAKO NI SALAMA? JUA UKWELI SASA! π§ Usibatishe afya yako kwa kuangalia rangi tu. Tumia TDS Meter ya kisasa kupima usafi wa maji unayokunywa kwa sekunde 3 tu! Kwa Nini Uhitaji Hii? β Pima Papo Hapo: Jua kama maji ni safi (0-50) au yana uchafuzi (500+). β Rahisi Sana: Ingiza kwenye glasi, soma matokeo kwenye kioo. β Afya Kwanza: Inafaa kwa maji ya bomba, visima, na hata ya chupa. π° BEI: 40,000/= TSh pekee! π Mahali: Arusha Town π Agiza Sasa: 0712350159