Description
unashindwa kufunga cctv camera sababu ya changamoto ya umeme? Usijali tunakuletea cctv camera za solar. Ni imara na za uhakika zinaonyesha picha nzuri 24/7. Zinafaa nje ya nyumba,kwenye fence,shambani au barabarani na bei yake ni nafuu. 1. 800W = 380,000/= 2. 1200w = 460,000/= Tupo Dar es salaam, posta house ghorofa ya 3 au tupigie simu namba 0713848228 au 0764308320. Karibuni tuwahudumie .