15.04.2026Dar es Salaam

Cctv camera

TZS 800 000

Description

Imarisha ulinzi na usalama wa mali na familia yako kwa kufunga Cctv camera leo. Tunazo camera nzuri zenye ubora wa hali ya juu na imara . Camera zetu ni kutoka chapa zinazoaminika duniani ambazo ni HIK VISION na DAHUA. Zinaonyesha picha angavu(HD) 24/7. Zinafaa kwa matumizi ya nyumbani, ofisini,shuleni,hospitali,kiwandani,godown, dukani, supermarket, bar ,hotelini na mgawahani. Bei zetu ni kuanzia sh.800,000/= pamoja na ufundi kwa seti ya camera 4. Tupigie simu 0764308320 au 0713 848228.

Fortunatus M.

Member since 2023.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Dar es Salaam