Description
Acha kuishi kwa wasiwasi kuhusu mali zako, funga cctv camera leo uishi kwa raha . Tunatoa huduma bora ya kufunga Cctv camera tuna ujuzi na uzoefu wa kutosha . Camera zetu ni bora zinaonyesha picha angavu (HD) 24/7 Zinafaa nyumbani, ofisin i,dukani ,kiwandani, godown, baa, saluni,, hoteli, hospitali na shuleni. . Gharama zake ni sh. 800,000/= kwa seti ya camera 4 pamoja na ufundi. Tupo Dar es salaam, posta house ghorofa namba 3 au tupigie simu 0713848228 au 0764308320. Karibu tukuhudumie.